FT: LIGI YA MABINGWA AFRIKA: SIMBA 3-0 AL MERRIKH

 



FT: Simba 3-0 Al Merrikh 
Simba inasepa na pointi tatu, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi leo Machi 16.

Uwanja wa Mkapa 
Dakika 90 Al Merrikh wanapeleka mashambulizi Simba 
Dakika ya 87 Chama anakosa nafasi kwa kumpiga chenga kipa ndani ya 18
Dakika ya 82 Luis anatoka anaingia Kahata
Dakika ya 81 Manula anaokoa inakuwa kona
Dakika ya 71,  Mugalu anatoka anaingia Kagere, anatoka Morrison anaingia Jonas Mkude 
Dakika ya 67 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 64 Lwanga anachezewa faulo na Wagd anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 59, Morrison anakosa nafasi ndani ya 18
Dakika ya 49 Mugalu Goooool
 Dakika ya 46 Zimbwe anapeleka mashambulizi Al Merrikh 
Mzamiru anatoka anaingia Bwalya kwa Simba, Ahmed Yosuph anachukua nafasi ya Mohamed kwa Al Merrikh 
Kipindi cha pili
LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi 

Mapumziko 

Simba 2-0 Al Merrikh 
Zimeongezwa dakika 3
Dakika ya 45 anaingia Nyoni 
Dakika ya 43 Onyango anapewa huduma ya Kwanza na anaomba kutolewa, alipigwa mpira kichwani
Dakika ya 41 Onyango anaokoa hatari mikononi mwa Manula
Dakika ya 38 Gooooooal Tshabalala 
Dakika ya 36 Lwanga anaanua majalo
Dakika ya 33 kipa wa Al Merrikh anapewa huduma ya Kwanza 
Dakika ya 30 Mugalu anakosa nafasi ya wazi kwa pasi ya Morrison 
Dakika ya 29 Mongbe kipa wa Al Merrikh anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 26 Morrison anaokoa hatari
Dakika ya 22 Onyango anapewa huduma ya Kwanza 
Dakika ya 17 Luis Miqussone goal
Dakika ya 16 Mugalu anapiga shuti linaokolewa.

Ndani ya dakika 15 timu zote mbili hakuna hata moja ambayo imepiga shuti ambalo limelenga lango.

Simba wanatengeneza nafasi ila watashindwa kutumia
Dakika ya 15 Mzamiru anachezewa faulo
Dakika ya 8 Monged anapewa huduma ya Kwanza ni kipa wa Al Merrikh 
Dakika ya 7 Mzamiru anapeleka mashambulizi Al Merrikh 
Dakika ya 4 Mugalu anachezewa faulo 

Dakika ya 3 Onyango anaanua majalo

Dakika ya Kwanza Morrison anatengeneza nafasi mabeki wa Al Merrikh wanaanua

Simba 0-0 Al Merrikh 

Kipindi cha kwanza

Machi 16, Simba v Al Merrikh 


Mchezo wa marudio,  ule wa kwanza Uwanja wa Al Hilal ngoma ilikuwa 0-0

No comments: